Newspapers

Gazeti la Baraza la Agosti 05, 1976, Issue No. 1927

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Kisiwa cha Rusinga cha omboleza kifo cha mzee Isaac Orwa aliyefariki na miaka 112 ambaye alikuwa mmoja kati ya watu wa kwanza kuishi atika kisiwa hicho.
  • Alikuwa mwalimu kwa zaidi ya miaka 40 alikuwa pia mshauri wa maafisa wa ukoloni alikuwa pia mwinjilisti wa kanisa la Seventh Day Adventist Church.

See English translation.

  • Rusinga Island mourns the death of old man Isaac Orwa who died at 112 years old who was one of the first people to live on the island.
  • Alikuwa mwalimu kwa zaidi ya miaka 40 alikuwa pia mshauri wa maafisa wa ukoloni alikuwa pia mwinjilisti wa kanisa la Seventh Day Adventist Church.