Newspapers

Gazeti la Baraza la Aprili 01, 1976, Issue No. 1909

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Sura ya kwanza ya chuo cha ufundi cha Ramogi nchini Kenya imekamilika kwa gharama ya Shs.2,500,000 nayo iko tayari kufungua milango yake na kupokea wanafunzi wa kwanza mwezi wa Mei mwaka huu.

See English translation.

  • Chapter One of Ramogi Vocational College in the Kenya completed at a cost of Shs.2,500,000 and it is ready to open its doors receiving the first students in May this year.