Newspapers

Gazeti la Baraza la Februari 12, 1976, Issue No. 1902

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Kwa ajili ya ongezeko la Kipindupindu katika tarafa za Samia na Bunyakla za wilaya ya Busia,Kenya serikali imepiga marufuku safari zote za mabasi ya kuingia na kutoka katika tarafa hizi mbili.
  • Isitoshe,wanachi wanapaswa kuwa na barua ya ruhusa kutoka kwa machifu wao kabla ya kuanza safari yoyote na kutoka nje ya tarafa hizi mbili.

See English translation.

  • Due to increase in Cholera infections divisions of Bunyakla of Busia district,the government has banned all bus trips in and out of these divisions.
  • Anyone intending to leave or gets in must have a letter from the areas chief before embarking on any journey and getting out of these two divisions.