Newspapers

Gazeti la Baraza la Februari 19, 1976, Issue No. 1903

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Watu wa mkoa wa Magharibi nchini Kenya wameamua kufanya maandamano makubwa katika Bukhungu Stadium Kakamega,Kenya kutokana na matangazo ya Uganda ya madai yao ya ujeuri kuhusu mipaka ya nchi ya Kenya.

See English translation.

  • People of the Western region in Kenya have decided to make big protests at the Bukhungu Stadium Kakamega,Kenya due to announcement by Uganda of their violent claims about Kenyan borders.