Newspapers

Gazeti la Baraza la Januari 09, 1975, Issue No. 1845

Volume Ref: BZ_1975_M008564

  • Rais Mzee Kenyatta afanya mazungumzo rasmi na waziri wa nchi za kigeni wa Uingereza Bw,James Callaghan Mombasa amabapo alieleza hali ya Rhodesia.
  • Kwingineko waziri wa maendeleo awahakikishia wakaazi wa Kilifi kusaidika kutokana na mpango wa maji ya bomba wa kutoka Mombasa unaokusudiwa kujengwa.

See English translation.

  • President Mzee Jomo Kenyatta holds an official meeting with Minister of foreign affairs of England Mr.James Callaghan in Mombasa on matters concerning Rhodesia.
  • Minister for development has promised the residents of Kilifi supply of water from the borehole project intended to begin in Mombasa.