Newspapers

Gazeti la Baraza la Januari 15, 1976, Issue No. 1898

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Wakuu wa nchi tatu za Kiafrika na mwenyeji wao rais wa Tanzania Nyerere waanza mazungumzo ya faragha mjini Dar es salaam yanayohusu kusini mwa Afrika ikiwa ni pamoja na swala la Angola na Rhodesia.

See English translation.

  • Heads of three African countries and their resident President Mwalimu Nyerere start a private conversation in Dar es salaam pertaining to southern Africa Including the question of Angola and Rhodesia.