Newspapers

Gazeti la Baraza la Januari 16, 1975, Issue No. 1846

Volume Ref: BZ_1975_M008564

  • Rais wa Tanzania Mwalimu Julius Nyerere awahimiza wananchi wote wa Afrika mashariki wasikubali migogoro au kutoelewana kati ya nchi na nchi kuwa chanzo cha kuvunja jumuiya ya Afrika Mashariki ambayo ina manufaa sana kwa Afrika mashariki na Afrika nzima kwa jumla.

See English translation.

  • The president of Tanzania Mwalimu Julius Nyerere urges the East African citizens not to allow conflicts between countries to be the source of the breaking of the East Africa community which is of importance not only to the East Africa community but also to Africa altogether.