Newspapers

Gazeti la Baraza la Julai 22, 1976, Issue No. 1925

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Mauaji ya kinyama yaendelea nchini Uganda ambapo maelfu ya wakenya wanauwawa ovyo hasa mjini Kampala ,sasa yamesambazwa hadi kufika mikoa mingine ya nchi humo.
  • Ripoti za kutoka mpakani ambapo wakenya wengi wamarejea nyumbani ,wenzao watano waliuwawa bila huruma huko magharibi ya Uganda mnamo julai 14.

See English translation.

  • Brutal murders continuous in Uganda where Kenyans are being killed mercilessly in Kampala now distributed until arrival of other districts in the country.
  • Border reports where many kenyans has returned home,where five of their friends have been killed brutally in the west of Uganda on July 14.