Newspapers

Gazeti la Baraza la Julai 29, 1976, Issue No. 1926

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Uchumi wa nchi mbili jirani za Uganda,Burundi na Rwanda umeanza kuzorota baada ya bidhaa nyingi ambazo zimekuwa zikitegemea kutoka bandari ya Mombasa ,Kenya kunyakuliwa ama kupotea nchini Uganda muda wa mwezi mmoja uliopita.

See English translation.

  • Economy of the neighbouring countries of Uganda,Burundi and Rwanda have started to deteriorate after many products which have been dependent from the port of Mombasa,Kenya rapture or disappearance in the Uganda about a month ago.