Newspapers

Gazeti la Baraza la Machi 20, 1975, Issue No. 1855

Volume Ref: BZ_1975_M008564

  • Ya eleza kwamba mapatano mapya ya mshahara kati ya chama cha wafanyakazi wa petroli na viwanda vya mafuta yametiwa sahihi.
  • Tume la wabunge 15 inayochunguza kutoweka na baadaye kufariki kwa aliyekuwa mjumbe wa bunge wa Nyandarua kaskazini marehemu J.M Kariuki ilianza shughuli zake.

See English translation.

  • Explains the agreement between the union of petroleum workers and oil factories have been signed.
  • Parliamentary Commission of 15 people investigating the disappearance and later death of the former Nyandarua North MP Mr.Josiah Mwangi has started its investigations.