Newspapers

Gazeti la Baraza la Mei 27, 1976, Issue No. 1917

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Bw.K Akibaya naibu wa p.c wa Nyanza katika mkutano wa muungano wa maafisa wa utawala wa mikoa ya Nyanza na Magharibi uliofanywa katika wilaya ya Siaya ,Kenya alisema masoko bila vyoo kufungwa mikoa hiyo kutokana na ongezeko la maambukizi ya kipindupindu katika sehemu hizo.

See English translation.

  • Mr.K Akibaya P.cs assist in Nyanza, at a union meeting of administrative officers in districts in Nyanza and west that was held in Siaya said that the markets without washrooms in the districts will be closed down from the increase in Cholera infections in the areas.