Newspapers

Gazeti la Baraza la Novemba 25, 1976, Issue No. 1943

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Mwenyekiti wa New Akamba Union ,Bw.Mulu Mutisya atoa wito kwa makabila ya Kenya yaoane kwa wingi ili ndoa nyingi za mchanganyiko ziweko kati ya makabila kama mojawapo ya njia za kutokomeza ukabila miongoni mwa wakenya.

See English translation.

  • Chairman of the new Akamba Union Mr.Mulu Mutisya calls for to the tribes in Kenya to intermarry with other tribes to reduce cases of tribal clashes.