Newspapers

Gazeti la Baraza la Oktoba 14, 1976, Issue No. 1937

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Shereke za mwaka huu za Kenyatta dei zitakuwa mkutano mkubwa utakaofanyika ndani ya Stadium ya Manispaa ya Mombasa, mkutano huu utahudhuriwa na wajumbe wa kutoka Zanzibar na Tanzania.

See English translation.

  • This year’s Kenyatta day celebrations will be a great meeting to be held at Mombasa municipal stadium, this meeting will be attended by delegates from Zanzibar and Tanzania.