Newspapers

Gazeti la Baraza la Septemba 09, 1976, Issue No. 1932

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Waziri wa Maendeleo ya Vyama vya Ushirika,Bw.Paul Ngei aliye katika ziara ya siku tano katika wilaya ya Machakos ,Kenya ameahidi mikopo ya Serikali ya jumla ya Shs.2,000,000 kwa shirika la kahawa la Matungulu na toleo la Serikali la Shs.10,000 kusaidia klabu ya wanawake wa Kangundo.

See English translation.

  • Minister of Cooperation and Development Mr.Paul Ngei who is on a five-day visit to Machakos District has promised general Government loans of Shs.2,000,000 to the coffee cooperation and government edition of Shs.10,000 supporting Kangundo women’s club.