Newspapers

Gazeti la Baraza la Septemba 16, 1976, Issue No. 1933

Volume Ref: BZ_1976_M008564

  • Waziri wa marekani wa Mashauri ya nje, Dr.Henry Kissinger aanza mashauriano yake na Rais Nyerere kama hatua ya kwanza katika ziara yake yenye shabaha ya kutafuta suluhisho la amani kati ya weupe na weusi wa Afrika kusini kuhusu uhuru wa nchi za Namibia na Zimbabwe na suluhisho la matatizo yanayokabili Afrika Kusini.

See English translation.

  • US Secretary of State for Foreign Affairs Dr.Henry Kissinger begins his consultation with president Nyerere as the first step in his visit aimed at finding a peaceful solution between the black and white people in South Africa about the independence of Namibia and Zimbabwe and solutions to the problems facing South Africa.