Newspapers

Gazeti la Kenya leo, July 05, 1980 Issue No. 1245

Volume Ref: TW_1980_M034562

  • “Moi atoboa hila ya kuvuruga amani nchini…na mauaji pia.”
  • “Upungufu wa vyakula nchini kwa sasa inasababishwa na watu wanaofanya magendo na kuficha unga wa mahindi na mchele-asema Rais Moi.”
  • “Ayoki akanisha madai ya Njonjo.”
  • “Nchi 26 zatambua Sahara na 8 zatisha kuondoka OAU.”
  • “Ndege za Warusi zaua 5,000 Afghanistan.”

English translation below

  • “Moi is plotting to disrupt the peace in the country…and killings too.”
  • “The current food shortage in the country is caused by people who smuggle and hide corn flour and rice – says President Moi.”
  • “Ayoki denied Njonjo’s claims.”
  • “Country 26 recognize the Sahara and 8 threaten to leave the OAU.”
  • “Russian planes kill 5,000 in Afghanistan.”