Newspapers

Gazeti la Kenya leo, Novemba 22, 1980 Issue No. 1265

Volume Ref: TW_1980_M034562

  • “Rais Moi apokea misaada ya 374,000/- katika harambee maeneo ya Nakuru.”
  • “Japan yapatia Kenya msaada wa shilingi 24,000,000/-“
  • “Wasyria na P.L.O waususa mkutano.”
  • “Msimu mzuri wa zao la bangi wazusha wasiwasi Thiland.”
  • “Kipindupindu chaua watu 4 Afrika Kusini.”

English translation below

  • “President Moi’s stern warning is in full swing – Flour return to the shops in plenty.”
  • “Odede’s testimony accepted in court.”