Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Agosti 23, 1975 Issue No. 1093

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Chama cha upinzani katika Serikali ya Rhodesia cha wazungu kimeanzisha kampeini kali ya kuisisitiza Serikali ya mlowezi Ian Smith iafikiane mara moja na wapigania uhuru, wakati mazungumzo ya kutafuta suluhisho la katiba ya nchi hiyo yatakapoanza.

English translation below

  • The opposition party in the government of Rhodesia of the whites has started a strong campaign to emphasize the Government of traitor Ian Smith agree immediately with freedom fighters, when the negotiations to find a solution to the country’s constitution will begin.