Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Desemba 06, 1975 Issue No. 1109

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Mabaraza ya Nairobi na Mombasa yaliamuriwa na Mahakama ya Viwanda yatekeleze nyongeza za mishahara ya maafisa wote wa gredi za A mpaka H kama ilivyoafikiwa Mei mwaka uliopita.

English translation below

  • Councils of Nairobi and Mombasa were ordered by the Industrial Court to implement wage increases of salaries of all officers grades A to H as reached in May last year.