Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Februari 01, 1975 Issue No. 1063

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Wizara ya Leba iliamuru wafanya kazi wote nchini wanaopata mshahara chini ya 2,000/- kwa mwezi waongezewe mishahara kuanzia mwezi huu kumudu na ongezeko la gharama ya maisha.

English translation below

  • The Ministry of Labour ordered all workers in the country earning less than shs 2,000 per month, their salaries should be increased from this month to afford the increase in the cost of living.