Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Januari 04, 1975 Issue No. 1059

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Mkutano wa viongozi wa vyama vitatu vinavyopigania uhuru wa Angola ulifunguliwa rasmi katika State House,Mombasa na Rais Mzee Jomo Kenyatta ambaye aliwahimiza viongozi hao washirikiane kwa kila njia ili kuleta uhuru wa haraka katika Angola.

English translation below

  • The meeting of the leaders of the three parties fighting for the independence of Angola was officially opened in State House, Mombasa by President Mzee Jomo Kenyatta who encouraged the leaders to cooperate in every way to bring immediate freedom in Angola.