Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Julai 05, 1975 Issue No. 1086

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Hivi karibuni huenda Wandorobo wanaoishi katika msitu wa Tinet ( Mau Forest) huenda wakapimiwa mashamba na kupewa hati za kumiliki ardhi, ikiwa Serikali itakubaliana na azimio lililowasilishwa Bungeni na Mbunge wa Bomet , Bw Kipkorir Salatt.

English translation below

  • Soon the Wandorobo living in the forest of Tinet (Mau Forest) may be surveyed and given land ownership documents, if the Government agrees with the resolution presented in Parliament by the Member of Parliament of Bomet Mr Kipkorir Salatt.