Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Julai 10, 1975 Issue No. 1088

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Serikali itatumia 200,000,000 kustawisha kilimo kote nchini Kenya katika kipindi cha sasa cha hazina (1975-76), Waziri Mdogo wa Kilimo, Bw. George Mwicigi, aliambia Bunge na papo hapo akawahakikishia wananchi kwamba tuna akiba ya magunia millioni tatu unusu ya mahindi na kwa hivyo hakuna wasiwasi wa njaa.

English translation below

  • The government will use 200,000,000 to develop agriculture throughout Kenya in the current treasury period (1975-76), Junior Minister of Agriculture Mr George Mwicigi, told the Parliament and immediately assured the people that we have reserves of three and a half million sacks of corn and therefore there is no worry of hunger.