Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Machi 15, 1975 Issue No. 1069

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Serikali ya Kenya ilitoa taarifa iliyoeleza kwamba kuna mapatano ya zamani kati ya Kenya na Serikali ya Uiengereza yanayoruhusu wanajeshi kuja kufanyia mafunzo yao huku yenye kuhusiana na mambo ya misituni. Kuwasili au kuondoka kwao huwa hakufanywi kwa siri, na kwa hici sasa wanajishughulisha na ujenzi wa madaraja na mafunzo, idadi yao, taarifa ikaongeza kuwa kidogo sana.

English translation below

  • The Government of Kenya issued a statement that explained that there is an old agreement between Kenya and United Kingdom Government which allows the military to come and do their training while related to forest matters. Their arrival or departure is never done in secret and currently they are engaged in the construction of bridges and training, their number, the statement added, was very small.