Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Novemba 01, 1975 Issue No. 1104

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Rais Mzee Jomo Kenyatta aliwashauri watumishi wa Serikali wanaotaka kugombea viti katika chama kinachotawala cha Kanu wajiuzulu kazi zao ndipo waruhusiwe kusimama katika uchaguzi. Hata hivyo, Mzee Kenyatta alisisitiza kwamba watumishi wa Serikali hatalazimishwa kujiunga na chama kinachotawala lakini watajiandikisha kwa hiari yao.

English translation below

  • President Mzee Jomo Kenyatta advised the government employees who want to run for seats in the ruling party Kanu resign their jobs then they should be allowed to stand in elections. However Mzee Kenyatta stressed that government employees will not be forced to join the ruling party but will register voluntarily.