Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Novemba 29, 1975 Issue No. 1108

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Afrika Kusini inakipatia chama cha UNITA cha Angola misaada ya washauri pamoja na zana za vita, kwa kuwa inahofu kwamba kujiingiza kwa Urusi katika vita vya nchi hiyo kunaweza kuhatarisha demokrasi ya mataifa ya magharibi na kuingiza Ukomunisti Kusini na Magharibi mwa Afrika.

English translation below

  • South Africa provided the party of UNITA of Angola with the aid of advisers as well as the tools of war, because it is feared that the indulgence of Russia in the country’s war may endanger the democracy of western countries and introducing communism in the South and West Africa.