Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Oktoba 11, 1975 Issue No. 1101

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Bunge lililazimika kuahirishwa kabla ya wakati wake kwa mara nyingine tena kutokana na ukosefu wa idadi ya Wabunge inayostahili kuwepo ili shughuli zake ziendelee.

English translation below

  • Parliament had to be adjourned prematurely once again due to the lack of the necessary number of Members of Parliament that should exist so that its activities can continue.