Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Septemba 06, 1975 Issue No. 1096

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Zogo la shirika la Reli lilifikia kikomo wakati Tanzania ilipoazimia kwamba kila nchi ya Jumuiya ya Afrika Mashsriki isimamie idara yake ya reli. Afisa mkuu katika Serikali ya Tanzania yafahamika amedokeza kwamba nchi yake ina maoni kwamba Shiirika la Reli likiendelea kusimamiwa mahali pamoja “haliwezi kuwa na utumishi bora unaohitajika.”

English translation below

  • The hustle and bustle of the Railways reached a time limit when Tanzania when it was decided that each country of The East Africa Community to manage its railway department. A senior official in the Government of Tanzania It is known that he has indicated that his country is of the opinion that if the Railway Cooperative continues to be managed in one place “cannot have the best service required.”