Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Septemba 13, 1975 Issue No. 1097

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Wale wasichana wawili waingereza ambao walivunja sheria inayosimamaia ubadilishaji wa fedha, walibadilisha kauli yao na awakakiri hatia, na papo hapo hakimu akaamuru wawekwe rumande mpaka wakati hukumu itakapotolewa.

English translation below

  • The two British girls who broke the law governing currency exchange, they changed their statements and pleaded guilty, and on the spot the judge ordered them to be remanded in custody until the judgment is given.