Newspapers

Gazeti la Taifa Weekly, Septemba 20, 1975 Issue No. 1098

Volume Ref: TW_1975_M033976

  • Halmashauri ya ukuzaji ngano katika Kenya imetangaza kuwa zile kanuni zinazoambatana na ukadiriaji wa zao hilo hazitatiliwa mkazo mwaka ujao kwa kuwa mvua nyingi imenyesha katika wilaya ya Uasin Gishu na Nakuru.

English translation below

  • Wheat development council in Kenya has announced that the principles that accompany the academy of that crop will not be stressed next year because a lot of rain has fallen in the districts of Uasin Gishu and Nakuru.