Newspapers

Kenya leo Agosti 03, 1984, Issue No. 422

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Rais Moi aliwahakikishia WaKenya kwamba serikali itatumia uwezo wake wote kuona kwamba hakuna aliyekabiliwa na njaa humu chini.
  • Alitoa wito kwa wabunge na viongozi wengine kote nchini kwamba kuna chakula cha kutosha kwa mahitaji ya wote na wajiepushe kuoa taarifa zozote zinazowatia wananchi hofu.

See English translation.

  • President Moi assured Kenyans that the government will use all its power to see that no one faced hunger down here.
  • He appealed to the parliamentarians and other leaders across the country that there is enough food for the needs of all and they should refrain from sharing any information that scares the public.