Newspapers

Kenya leo Agosti 06, 1984, Issue No. 425

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Rais Moi alisimamisha mikutano yote ya Harambee katika sehemu mbalimbali zinazokabiliwa na ukame, hadi katikati ya mwezi wa Oktoba mwaka huu, wakati hali inatazamiwa kurejea kawaida.
  • Hata hivyo Rais alisema sehemu zingine zilizo na chakula cha kutosha zinaweza kuendelea na mikutano ya Harambee.

See English translation.

  • President Moi stopped all Harambee meetings in various places facing drought, until the middle of October this year, when the situation is expected to return to normal.
  • However, the President said other places with enough food can continue with Harambee meetings.