Newspapers

Kenya leo Agosti 11, 1984, Issue No. 430

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Serikali yatoa amri kuwa , hakuna mtu yeyote ataagiza sigara kutoka nje ama kuuza sigara hizo nchini kutoka Januari, mwaka ujao kama paketi hizo hazitakuwa zimetoa onyo kueleza kuwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya ya mtu.

See English translation.

  • The government has issued an order that no one will import cigarettes from abroad or sell those cigarettes in the country from January, next year if the packages will not have given a warning to explain that smoking is dangerous to one’s health.