Newspapers

Kenya leo Agosti 16, 1984, Issue No. 435

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Tumeinayochunguza nyendo za aliyekuwa Waziri wa Katiba Bw. Charles Njonjo , aliambiwa kwamba labda hakuna wakati wowote ambapo WaKenya watakuja kufahamu sababu na shabaha za baadhi ya hila nyingi zilizokuwa zikitendwa na Njonjo.
  • Hii ni sababu Bw. Njonjo alikuwa mtu ambaye angeweza kuwafanya watu kuamini jambo hili au lile, na huku anatenda kinyume kabisa cha yale anayohubiri.

See English translation.

  • The commission investigating the actions of the former Minister of the Constitution Mr. Charles Njonjo, He was told that perhaps there is no time when Kenyans will come to understand the reasons and objectives of some of the many tricks used by Njonjo.
  • This is the reason Mr. Njonjo was a man who could make people believe this or that, and yet he is doing the complete opposite of what he preaches.