Newspapers

Kenya leo Agosti 17, 1984, Issue No. 436

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Viongozi wa Kenya walikutanika mjini Nairobi hivi karibuni ili kujadili swala la mpango wa uzazi na maendeleo ya uchumi nchini.
  • Mapendekezo mengi yalitolewa kwenye kikao hicho na maazimio kadha yakapitishwa haya ni pamoja na jamaa zilizo na watoto wengi kutozwa faini kubwa, hii ikiwa njia mojawapo ya kupanga uzazi.
  • Nyingine zilikuwa ni kuzaa watoto kwa mpango wa kadiri, utumiaji wa madawa na utumiaji wa njia za kiasili za tangu jadi.

See English translation.

  • Kenyan leaders gathered in Nairobi recently to discuss the issue of family planning and economic development in the country.
  • Many recommendations were made at the meeting and several resolutions were passed, this includes families with many children to be fined heavily this being one of the methods of family planning.
  • Others were to give birth to children with a plan of proportion, the use of drugs and the use of traditional traditional methods.