Newspapers

Kenya leo Agosti 18, 1984, Issue No. 437

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Nchi za Afrika na nyinginezo zimetoa with Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lisitambue kabisa katiba mpya ya makaburu wa Afrika Kusini ambayo zimesema ni nyanja za kuimarisha udhalimu na ubaguzi wa rangi wa makaburu hao.

See English translation.

  • African countries and others have called the Security Council of the United Nations not to fully recognize the new constitution of the South African barbarians which they have said are tricks to strengthen the injustice and racism of those barbarians.