Newspapers

Kenya leo Agosti 30, 1984, Issue No. 449

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Rais Moi aliwataka wananchi kote nchini washirikiane na polisi ili kuangamiza majambazi.
  • Alisema “nataka wanachi washirikiane na polisi kuangamiza majambazi kote nchini ili tukae kwa amani”.
  • Wakati huo huo, Rais aliwataka waKenya wote wahakikishe kuwa wanazaa watoto ambao wanaweza kuwalea kwa njia iliyo nzuri.
  • Alilaani ukabila na akatoa wito kwa viongozi na maafisa wakuu wa serikali kuacha mambo yanayoweza kuharibu fikira za vijana.

See English translation.

  • President Moi asked the people across the country to cooperate with the police to destroy the bandits.
  • He said “I want citizens to cooperate with the police to destroy bandits throughout the country so that we can live in peace”.
  • At the same time, the President asked all Kenyans to ensure that they give birth to children that they can raise in a good way.
  • He condemned tribalism and appealed to leaders and senior government officials to stop things that can destroy the minds of young people.