Newspapers

Kenya leo Julai 03, 1984, Issue No. 391

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Serikali za nchi tatu za Afrika Mashariki , Kenya, Tanzania na Uganda zimetia sahihi makaratasi ya kisheria na banki ya dunia mjini Washington kuhusu mpango ulioazimiwa wa kusuluhisha swala la ulipaji wa madeni yaliyokuwa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovumjika ambayo nchi hizo zilikuwa wanachama.

See English translation.

  • Governments of three East African countries Kenya, Tanzania and Uganda have signed legal papers with the world bank in the city of Washington about the plan resolved to resolve the issue of debt repayment that belonged to the East African Community broken down of which those countries were members.