Newspapers

Kenya leo Julai 05, 1984, Issue No. 393

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Shirika la Taifa la Biashara (KNTC) limeongeza maradufu kiasi cha sukari kinachogawiwa wafanyabiashara wa jiji la Nairobi ili kukabiliana na mahitaji ya wanunuzi yanayozidi kuongezeka.
  • Mwenyekiti wa KNTC, Prof. Sam Ongeri , aliwahahkikishia wanachi kwamba kuna kiasi kikubwa cha sukari ya kutosheleza mahitaji ya taifa zima na akatoa wito kwa wananchi waache kuhangaika.

See English translation.

  • National Agency of Business (K NTC) has doubled the amount of sugar distributed to Nairobi city traders to meet growing consumer demand.
  • Chairman of KNTC Prof. Sam Ongeri, assured the people that there is a large amount of sugar to meet the needs of the whole nation and called on the people to stop worrying.