Newspapers

Kenya leo Julai 09, 1984, Issue No. 397

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Mashirika ya wanawake nchini yameshauriwa yabuni njia bora zaidi zaz kuweza kusaidia na kuendeleza mbele maslahi ya wanachama wao kuliko ilivyo wakati huu.
  • Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake nchini Profesa. Wangari Mathai alisisitiza kwamba mashirika ya wanawake hayana budi kubuni muungano maalum ambao utayashiriksha makundi yote ya kina mama kote katika jamhuri hii na kuweza kuwatetea popote na kwa njia zote.

See English translation.

  • Women’s organizations in the country have been advised to devise better ways to support and develop forward the interests of their members more than at present.
  • Chairperson of the Women’s Council in the country Prof. Wangari Mathai stressed that women’s organizations must form a special coalition who will involve all groups of women throughout the republic and be able to defend them anywhere and by all means.