Newspapers

Kenya leo Julai 10, 1984, Issue No. 398

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Rais Moi asema haifai Kenya kuwa mahali pa kuanzisha vyuo vikuu vya kibinafsi visivyo kuwa na maana na akasema anasikitishwa na hali ya elimu ambayo hutolewa na vyuo vikuu vya kibinafsi humu nchini na katika nchi za nje.

See English translation.

  • President Moi says Kenya should not be the place to start meaningless private universities and said he was saddened by the state of education offered by private universities in the country and in foreign countries.