Newspapers

Kenya leo Julai 13, 1984, Issue No. 401

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Idadi ya watu nchini Kenya sasa imefikia karibu 19.5 milioni, mkurugenzi wa huduma za matibabu Dkt. Wilfred Karuga Koinange asema.
  • Ni dhahiri kwamba ongezeko la watu humu nchini linatisha kuzusha matatizo makubwa kwa siku zijazo hasa kuhusiana na huduma za jamii kama vile afya.

See English translation.

  • The population in Kenya has now reached nearly 19.5 million, director of medical services Doc. Wilfred Karuga Koinange said,
  • It is clear that population growth in the country is threatening to cause serious problems per day for the future especially in relation to social services such as health .