Newspapers

Kenya leo Julai 14, 1984, Issue No. 402

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Kenya yahitaji kupunguza kiwango chake cha ongezeko la idadi ya watu kutoka asilimia 4 hadi 3.6 ifikapo 1988, na kwa lengo hilo kufaulu viongozi wote humu nchini wanahitajika kuwashirikisha wananchi na kuwaelimisha juu ya haja ya kuzingatia mpango wa uzazi.
  • Haya ni baadhi ya maazimio ambayo yalibainika kwenye semina ya siku mbili ya taifa kuhusu idadi ya watu na maendeleo iliyofanywa katika jumba la mikutano la Kenyatta International Conference Centre, Nairobi.

See English translation.

  • Kenya needs to reduce its rate of population growth from a 4 to 3.6 percentage by 1988, and for that purpose to succeed all the leaders in this country are required to involve the people and educate them on the need to focus on family planning.
  • These are just some of the concerns raised during the two-day national seminar population and development made in the conference hall of Kenyatta International Conference Centre, Nairobi.