Newspapers

Kenya leo Julai 17, 1984, Issue No. 405

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Rais Moi alaumu gazeti moja la humu nchini kwa kuchapisha habari zinazonyesha kwamba kumekuwa na idadi kubwa ya madaktari wanaoacha kazi katika utumishi wa serikali na kujiunga na idara nyingine.
  • Alisema kwamba ni jambo la kawaida kama vile kuondoka kwa watumishi wengine wa serikali kujiunga na idara nyingine na makampuni.

See English translation.

  • President Moi blames a local newspaper for publishing information that shows that there has been a large number of doctors resigning from the civil service and joining other departments.
  • He said that it was as common as the departure of some civil servants joining other departments and companies.