Newspapers

Kenya leo Julai 21, 1984, Issue No. 409

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Rais Moi aliishauri Halmashauri ya Majani Chai ya Kenya (KTDA) ihimize ukuzaji wa zao hilopopote hapa nchini ambapo laweza kukua.
  • Rais alisema kwamba majani chai ni zao la pili baada ya kahawa ambalo huiletea nchi hii pesa nyingi za kigeni na kwa mujibu huo wanachi wanapaswa kuhimizwa waimarishe ukuzaji wa zao hili.

See English translation.

  • President Moi advised Kenya Tea Development Agency Holdings (KTDA) encourage the development of any crop in the country where it can grow.
  • The president said that tea leaves are the second crop after coffee that has brought to this country a lot of foreign money and according to that, the citizens should be encouraged to strengthen the development of this crop.