Newspapers

Kenya leo Julai 24, 1984, Issue No. 412

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Charles Njonjo, aliacha kazi yake ya Mkuu wa Sheria bila kutoa notisi ya mwezi mmoja kama inavyohitajika katika utumishi wa serikali kwa sababu alitaka kuwa Makamu wa Rais.
  • Tume inayochunguza mienendo ya waziri huyo wa zamani wa mambo ya katiba iliambiwa na aliyekuwa mkuu wa sheria , Bw. James Boro Karugu kwamba Njonjo alimwambia kuwa nia yake si kupata tu wadhifu wa waziri wa mambo ya Katibu, bali lengo lake ni kiti cha Makamu wa Rais.

See English translation.

  • Charles Njonjo, left his job as the Head of Law without giving one month’s notice as is required in government service because he wanted to be the Vice President.
  • The commission investigating the actions of the former minister of constitutional affairs was told by the former head of law Mr. James Boro Karugu that Njonjo he told him that his intention was not only to get the post of minister of affairs of the Secretary, but his goal is the seat of the Vice President.