Newspapers

Kenya leo Julai 27, 1984, Issue No. 415

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • WataaLamu wamesema kwamba jangwa la Sahara linasambaa haraka na hatari sana kwa kiwango cha maili 125 kwa mwaka na kwamba katika muda wa zaidi ya miaka 10 iliyopita ekari billioni moja za ardhi ya kulima zimeharibiwa na jangwa hilo.
  • Haya yalisemwa kwenye mkutano wa mawaziri wa kutoka nchi 22 za Afrika mjini Dakar, Senegal ambao wamekuwa wakikutana kwa siku tatu.

See English translation.

  • Experts have said that the Sahara desert is spreading rapidly and is very dangerous in scale of 125 miles per year and that in the time of more than 10 years ago, one billion acres of cultivated land have been destroyed by the desert.
  • This was said at a meeting of ministers from 22 African countries held in Dakar, Senegal who have been meeting for three days.