Newspapers

Kenya leo Julai 30, 1984, Issue No. 418

Volume Ref: KL_1984_M010355

  • Kasisi Timothy Njoya wa kanisa la P.C.E.A ambaye wiki jana alisababisha majadiliano makali Bungeni kutokana na dai lake kuwa Charles Njonjo aombewe, alisema kwamba uhuru wa kuabudu unaotolewa nchini ni haki yao na akawashauri maaskofu wenzake wakome kuabudu uhuru huo kama kwamba ni jambo la hisani kutoka kwa mtu yeyote.

See English translation.

  • Priest Timothy Njoya of P.C.E.A church, who last week caused intense discussion in Parliament due to his claim of Charles Njonjo to be prayed for, said that the freedom of worship offered in the country is their right and he advised his fellow bishops to stop worshiping that freedom as if it is a charity from anyone.