Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 01,1985, Issue No. 660

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Mtu mmoja aliyepatikana amaechimba handaki la urefu wa kilomita moja futi 60 chini ya ardhi kwa muda wa miaka minane, amedai kwamba aliagizwa na mungu afanye hivyo. Alidai kwamba mungu alaimuahidi kwamba angempa zawadi maalum kama angekamilisha ujenzi wa handaki hiilo refu linaloanzaia kibandani mwake.

English Translation

  • One man was found digging a tunnel 60 miles [60 km] underground for eight years he claimed that he was commanded by God to do so. He claimed that God had promised him that he would give him a special gift if he had completed the construction of the long tunnel that begins at his booth.