Newspapers

Kenya Leo Newspaper of April 04,1985, Issue No. 663

Volume Ref: KL_1985_M034496

  • Rais Moi kuanzisha motokaa ya kwanza ya mashindano ya 33 ya Safari Rally, nje ya jengo kuu la Kenyatta International Conference Centre.
  • Dereva wa kwanza kutoka nchi ya kigeni kushinda mashindano ya Safari Rally Hannu Mikkola ndiye atakayekuwa wa kwanza kuondoka katika jukwaa la kuanzisha mashindano hayo.

English Translation

  • President Moi to commemorate the start of the 33 Safari Rally outside the Kenya International Conference Centre building.
  • The first driver from a foreign country to win a race in the Safari Rally Hannu Mikkola will be the first to leave the platform to launch the competition.